SERIKALI YAAMUA KUAGIZA SUKARI NJE


SERIKALI YAAMUA KUAGIZA SUKARI NJE


Serikali ya Tanzania imeiagiza Bodi ya Sukari nchini(SBT) kuagiza Sukari nje ya nchi kutokana na upungufu uliosababishwa na kufungwa kwa viwanda.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya utafiti uliofanywa kuonyesha kuwa bei ya sukari nchini imepanda katika maeneo mbali mbali, huku bei ikiwa kati ya shilingi 2600/- mpaka kiasi cha shilingi 3000/-.

Mnamo mwaka jana SBT ilipanga bei elekezi ya sukari kuuzwa kwa kiasi cha shilingi 1800/- kwa kilo, lakini inaonyesha agizo hilo halikufuatwa na wauzaji pamoja na wasambazaji wa bidhaa hiyo.
Sasa basi imeona bora hiiagize Bodi husika yaani (SBT) kuagiza sukari kutoka nje ya nchi kutokana kuwepo na uhafifu wa viwanda  vya uzarishaji.
 


Comments

Popular posts from this blog

Makala - Historia ya Hip Hop Tanzania

Makala - Kilimo cha Mboga Mboga