MOROGORO AFTER NECTA BASH 2017



MOROGORO AFTER NECTA BASH 2017

Haya sasa baada ya kidato cha nne (4) kubeng kwa sana ndani ya Kingstone Night Club, Bhaasi  kidato cha sita  yaani Form six (6). After Pens Down yaani  MOROGORO AFTER NECTA BASH  tuna buruduka kwa pamoja ndani ya ukumbi wa Kingstone uliopo NaneNane (8/8) kwa Mtonyo wa buku 3000/=tu mlangoni ambayo itakua siku ya Ijumaa ya tarehe 12 / 05 /2017 kuanzia  mida yetu ile ya ngoma 07:00 usiku   mpaka kokorikoo!! Na Ma Dj’s wakali ndani ya mjengo … Dj S.paul mikono michafu na m2 mbaya Dj.Burna … Hii sio ya kukosa … Unaanzaje kukosa kwa mfano????



Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Makala - Historia ya Hip Hop Tanzania

Makala - Kilimo cha Mboga Mboga